Hello,

Join Fatuma's Voice, Sign Up to get started!

Welcome Back,

Join Fatuma's Voice, log in to continue.

Forgot Password,

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link to create a new password via email.

Sorry, you do not have permission to ask a question, You must login to ask a question. Please subscribe to paid membership

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Fatumas Voice Latest Questions

  • 3
Simeon Nguye

Je Rais Ruto atawaunganishaje wananchi wa Kenya?

Tumeona Taifa la Kenya likiwa limegawanyika katika kipindi cha uchaguzi wa kisiasa mwaka huu 2022. Na uku Tume ya uchaguzi ikiwa imemtangaza mgombea kutoka muungano wa Kenya Kwanza Muheshimiwa Ruto kama Rais Mteule wa Kenya uku Muungano wa Azimio wa kipinga matokeo ya ushindi wa Ruto Makahama kuu. Mapingamizi ya muungamo wa Azimio ya kitupiliwa mbali na Hakimu Martha Koome akisemema hayana uthibitisho wa kutosha juu ya uchaguzi kuwa udanganyifu na kuthibitisha Rais Ruto kama rais mteule wa taifa la Kenya.

Rais Ruto yeye sio muumini wa serikali wa nusu mkate, je atatumia mbinu gani kuliunganisha taifa la Kenya ambalo mpaka sasa kuna ombwe la mgawanyiko .

You must login to add an answer.

2 Answers