Hello,

Join Fatuma's Voice, Sign Up to get started!

Welcome Back,

Join Fatuma's Voice, log in to continue.

Forgot Password,

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link to create a new password via email.

Sorry, you do not have permission to ask a question, You must login to ask a question. Please subscribe to paid membership

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Fatumas Voice Latest Questions

 • 8
 • 8
Simeon Nguye

Je bado kizazi Cha Dot Com kinazingatia Tamaduni za uchumba?

Vijana wengi wa kizazi Cha sasa kinachangamoto za kutunza Tamaduni za koo zao. Unaweza kukuta kijana anaishi Nairobi kapata mchumba hapo mjini nakuanza kuishi nae bila kumchunguza huyo Binti au Mume mtarajaiwa anatoka kwenye koo gani una shida gani kwenye huo ukoo wao. Sasa hapo ndio changamoto za kijana anakutana nayo.

You must login to add an answer.

Best Answer

 1. tamaduni na mila huenda zikibadilika na kwa dunia ya kisasa hauezi futa tamaduni za kale bila kujikaanga, kizazi cha dotcom kinatengeneza tamaduni mpya kulingana na dunia inavyosonga ila kizazi hiki shida ni yakwamba hakizingatii vitu vya maana katika jamii. wanaprioritise mambo ya mapenzi, raha naRead more

  tamaduni na mila huenda zikibadilika na kwa dunia ya kisasa hauezi futa tamaduni za kale bila kujikaanga, kizazi cha dotcom kinatengeneza tamaduni mpya kulingana na dunia inavyosonga ila kizazi hiki shida ni yakwamba hakizingatii vitu vya maana katika jamii. wanaprioritise mambo ya mapenzi, raha na kujisaidia kibinafsi sio kama kizazi cha kitambo waliokua wanatafuta njia tofauti za kujiboresha na kuboresha jamii kwa ujumla.
  lakini hauezi laumu kizazi cha dotcom kwani dunia pia imebadilika watu waliokua wakiongoza jamii enzi za kale pia wamebadilika siku izi unapata wazee ndio wapyoro na wenye ubinafsi zaidi. wanaweka mfano mbaya kwa vijana wa kizazi kipya.

  See less

1 Him Answer