Viongozi wa Kenya Kwanza walio na misimamo mikali kama makamu wa Raisi Gachuga ndio wanaompotosha Raisi Ruto asifanye majadiliano na viongozi wa upinzani wa Azimio. Hali hii itachangia kiasi kikubwa Hali tete ya kiusalama ndani ya nchi.Kwa maoni yangu Raisi Ruto angalie mstakabali wa serikali yake, maana Kenya ni Kubwa kuliko chama chake cha UDA apatanane na Kaka ya Ondiga nchi iendelee mbele kiuchumi.