Vijana wengi wa kizazi Cha sasa kinachangamoto za kutunza Tamaduni za koo zao. Unaweza kukuta kijana anaishi Nairobi kapata mchumba hapo mjini nakuanza kuishi nae bila kumchunguza huyo Binti au Mume mtarajaiwa anatoka kwenye koo gani una shida gani kwenye huo ukoo wao. Sasa hapo ndio changamoto za kijana anakutana nayo .
Share